|
Watanzania
|
|
Kujiandikisha:
|
Watanzania(wanafunzi na wasio wanafunzi) waliopo Russia na nchi za CIS
wanashauriwa kujiandikisha Ubalozini kwa kujaza fomu hii hapa chini.
Kukosa kujiandikisha kunaweza kuzuia au kuchelewesha msaada na ulinzi
ambao raia wa Tanzania anastahili kupata ikiwa kutatokea msukosuko au shida yoyote.
|
|
|